1 Kings 20:1

Ben-Hadadi Aishambulia Samaria

1 aWakati huu, Ben-Hadadi mfalme wa Aramu akakusanya jeshi lake lote. Akifuatana na wafalme thelathini na wawili wakiwa na farasi na magari ya vita, akakwea kuuzingira kwa jeshi Samaria na kuishambulia.
Copyright information for SwhKC